Sunday, 13 December 2015

#Utanipenda Lyrics by @diamondplatnumz

Diamond Platnumz has dropped a new Single Titled Utanipenda. The song is smooth and flows without any hitch. If you know Diamond very well, I'm pretty sure you'll enjoy this new Jam from him. He speaks about his life of fame, He asks a lot of questions, wondering if all the fame and the platform he is enjoying now varnishes by tomorrow, will all the people around him still be present? He speaks about the ups and downs of life and how to handle them. The video was shot in Dar es Salaam, Tanzania and Jo'burg, South Africa by Godfather Productions.

Enjoy the lyrics and be free to point out any mistakes noted.


Diamond Platnumz with Wife, Zari Hassan 
Intro:
Tatizo la uzazi limekuwa ni kilio kikubwa,
Najua linawatesa wengi,
Ila doctor Mwaka ni zaidi ya suluhisho
Fika sasa Foreplan Clinic, Ilala Bungoni,
Matokeo utayoyapata, naamini utalipenda


Tanta---rara
Ohhh na na na na 
Oh ghafla visenti sina, nimerudi Tandale,
Nashindwa kulipa bima, nimeuza Madale,
Redio nyimbo imezima, TV ndio hatare,
Umeneja Umebaki jina hanitaki hata Tale,
Oooh wale shabiki zangu,
Walonisifu kwa maneno matamu,
Leo maadui zangu,
Ni mitusi tu kwa Instagramu,
Kimwana si dadangu, eti nae hanifahamu,
Hata Harmonize nikimpigia, ananifokea kama salamu,
Na magazeti nyumbani kwa kukuza habari si unajuaga,
Utasikia tafarani eti Mondi kwa Zari amemwagwa,
Na venye nilivyo mnyonge, tabia ya kuwajibu sinaga,
Ama naiona michambo ya madem wa zamani niliowapitiaga,

Bridge:
Ohh, nnayosema yana maana,
Sababu hakuna anayoyajua ya kesho,
Anayepanga ni Rabana,
Ila ameficha ni confidential,
Ukisali omba sana,
Mumeo nisije kuwa kichekesho,
Maana rafiki wa jana,
Ndio adui mkubwa kesho,


Chorus:
Ohh lalalalaaa,
Ah, Je utanipendaga?
La lalalalalalaaa,
Au nawe utanimwaga?
La lalalalalalaaaa,
Ati utanipendaga?
La lalalalalaaaa, oooh,


Oooh bado nimewaza sana,
Vile tuzo,  mashauzi airport,
Je, itapofika tama,
Utadiriki hata japo kunipost?
Pindi show zimekwama,
Na nkipata sijazi ni mikosi,
Oh, jahazi imezama,
Mola ninusuru Baba,
Kama namwona mwanangu,
Roho yangu, Tiffah Dangote,
Anakwenda na mamangu,
Kwa Jakaya Kikwete,
Wanafukuzwa watoke,
Usilie Sandra'ngu,
Mboni yangu,
Jikaze usichoke,
Huenda kesho zamu yangu,
Ntavuma tena mambo yanyooke,
eeeeeeeihh,

Bridge II:
Na magazeti nyumbani kwa kukuza habari si unajuaga,
Utasikia tafarani eti Mondi kwa Zari amemwagwa,
Na venye nilivyo mnyonge, tabia ya kuwajibu sinaga,
Ndio maana naiona michambo ya madem wa zamani yani...hey hey yeah yeah


La lalalalalalaaa,
Ohh nanana lalalaaaa,
La lalalalalalaaa,
Ohh Lalala lalalalaaa,
La lalalalalalaaa,
Ohh Lalalalila ooh,
La lalalalalalaaa,


I said,
Kama namwona mwanangu,
Roho yangu, Tiffah Dangote (Tiffah'ngu mama)
Anakwenda na mamangu,
Kwa Mkubwa Fellah,
Wanafukuzwa watoke,
Usilie Sandra'ngu,
Mboni yangu,
Jikaze usichoke,
Huenda kesho zamu yangu,
Ntavuma tena mambo yanyooke,
eeeeeeeihh,


Ohh Lalalalila ooh,
Ohh baby,
Tudd Thomas,

Bridge:
Ohh, nnayosema yana maana,
Sababu hakuna anayoyajua ya kesho,
Anayepanga ni Rabana,
Ila ameficha ni confidential,
Ukisali omba sana,
Mumeo nisije kuwa kichekesho,
Maana rafiki wa jana,
Ndio adui mkubwa kesho,

Outro:
Wasafi

Lyrics Submitted byAdeh The Blogger


No comments:

Post a Comment

Lupita Nyong'o has done it again!

Jay Z has released another song from his much publicized album 4.44. This new song is called MaNyfaCedGod  featuring James Blake and the vi...