Thursday, 10 December 2015

#HelloCover Lyrics by @delamuziki

Y'all know Adele's new Hit Song Hello, Right? Ever since she released this new track, it has received massive airplay all over the world with close to 700 Billion views on Youtube. In Kenya, a songbird, Dela, has played a cover of that same song but in Swahili version. It's so sweet and melodious you just have to listen to this amazing talent and judge for yourself. Click Here for the amazing Hello in Swahili Version




Hello Ni mimi Baada ya miaka na mikaka, je twaweza kukutana Turejelee yote. Wanasema muda unaponya, mbona bado ninaumwa? Hello Waniskia? Niko Pwani nikiota juu ya vile tulikuwa Kama vijana, tulipokuwa huru Nimesahau ilivyohisi kabla dunia ianguke Tofauti baina yetu Na maili milioni Hello ‘toka kwa mataa Mara elfu kakupigia Kuomba msamaha kwa niliyotenda Lakini mteja hapatikani Hello ‘toka kwa mataa Naweza sema nimejaribu Mpenzi nisamehe kwa kuvunja moyo Lakini ni kama haikujalishi Kamwe. Hello Waambaje? Ni kawaida yangu kujizungumzia,oh Niwie radhi Natumahi utaniwia radhi Je, uliweza hama toka ule mji uliokuboesha Sio siri Kuwa mi na we Tunapitwa na masaa


Hello ‘toka kwa mataa Mara elfu kakupigia Kuomba msamaha kwa niliyotenda Lakini mteja hapatikani Hello ‘toka kwa mataa Naweza sema nimejaribu Mpenzi nisamehe kwa kuvunja moyo Lakini ni kama haikujalishi Kamwe ooh Kamwe ooh Kamwe ooh Kamwe, kamwe Hello ‘toka kwa mataa Mara elfu kakupigia Kuomba msamaha kwa niliyotenda Lakini mteja hapatikani Hello ‘toka kwa mataa Naweza sema nimejaribu Mpenzi nisamehe kwa kuvunja moyo Lakini ni kama haikujalishi Kamwe.

Lyrics Submitted by; Adeh The Blogger

DelaMuziki



No comments:

Post a Comment

Lupita Nyong'o has done it again!

Jay Z has released another song from his much publicized album 4.44. This new song is called MaNyfaCedGod  featuring James Blake and the vi...