Saturday, 16 April 2016

#MotoMotoLyrics by @amosandjosh

Amos and Josh is a duo of two talented Kenyan guys. Their brand new song Moto Moto is a Club banger. Sang in pure Swahili representing East Africa and Africa in general. Produced by Johari Music.


(Verse I)
Watu wengi nimeona,
Mfano wako hakuna,
Kwa wema umesifika,
Imani yako hakika mami,
Tabibu wa moyo wangu,
Utanipa dawa gani,
Juu paumapo sipaoni,
Juu yako taabani,

(Bridge)
Jua likiwaka,
Niwe nawe,
Mchana kutwa,
Jioni likitua jua, Usiniache,

(Chorus)
Tuwashe moto moto moto mimi na weh,
Penzi lituchome tusiwe
Moto moto moto mimi na weh,
Tusiwe, tusiwe

(Verse II)
Nikisema nisikwambie,
Nitauumiza moyo wangu,
Na nikisema nikwambie,
Sijui utasema vipi mama,
Tabibu wa moyo wangu,
Nitatunga nyimbo gani,
Juu paumapo sipaoni,
Juu yako taabani,

(Bridge)
Jua likiwaka,
Niwe nawe,
Mchana kutwa,
Jioni likitua jua, Usiniache,

(Chorus)
Tuwashe moto moto moto mimi na weh,
Penzi lituchome tusiwe
Moto moto moto mimi na weh,
Tusiwe, tusiwe X2

(Verse III)
Moto moto,
Hili ni sikio la kufa,
Haliwezi sikia dawa,
Labda busu moja la pawa,
Moto moto,
Itabidi nimewachuja,
Ili nipate yangu fursa,
Ya busu moja la pawa,
Moto moto,
Hili ni sikio la kufa,
Haliwezi sikia dawa,
Labda busu moja la pawa,

(Bridge)
Jua likiwaka,
Niwe nawe,
Mchana kutwa,
Jioni likitua jua, Usiniache,

(Chorus)
Tuwashe moto moto moto mimi na weh,
Penzi lituchome tusiwe
Moto moto moto mimi na weh,
Tusiwe, tusiwe X2

(Outro)
Moto moto moto tusiwe X3
Penzi lituchome tusiwe
Moto moto moto tusiwe X3
Penzi lituchome ........
Tusiwe, tusiwe, tusiwe, tusiwe


Lyrics Submitted by; The Lyrical Master


No comments:

Post a Comment

Lupita Nyong'o has done it again!

Jay Z has released another song from his much publicized album 4.44. This new song is called MaNyfaCedGod  featuring James Blake and the vi...