Saturday 26 March 2016

#Papa Lyrics by @RabbitTheKing ft @elanimuziki

King Kaka has dropped a new song featuring the amazing group Elani. It's a touching song dedicated to his late father. Produced by Cedo/Pacho and Directed by Young Wallace.


(Bryan)
Huu wimbo ni wako baba,
Natarajia uko salama,
Nakumbuka ulivyo kazana,
Na sura yako baba nitakumbuka,
Oooh. oooh, oooh, 

(Verse I)
(King Kaka)
Okay,
Siwezi wadanganya,
Me sikua poa na my father,
Nilijionea kwa macho zangu aki-disagree na Mother,
Kifaranga itakua jogoo,
Huonekana yai ikitagwa,
I was a kid in '93,
Naikumbuka kama jana,
And that's why (Rest his soul)
I never talk about him,
Na nilipromise mom next day,
Nitaenda kumwona hosi,
Deep within I was bitter,
Jua kadhaa zikapita,
Machozi kwa giza but nasmile in disguise,
Ati nimwache apone kwanza, 
Ndio apate nguvu ya ku-apologize,
Hadi alitumana,
I always blame myself for that,
Fursa tu,
Nikakataa kusema goodbye to dad,
Hio kitu huniuma hadi wa leo,
Wimbi zangu zimepotea kwa uteo,

(Bridge)
(Bryan)
Huu wimbo ni wako baba,
Natarajia uko salama,
Nakumbuka ulivyo kazana,
Na sura yako baba nitakumbuka,
Oooh. oooh, oooh, 

(Chorus)
(Elani)
Weweee (Papa papa papa) 
Weweee (Papa papa papa) 
Weweee (Papa papa papa) 
Weweee (Papa papa papa) 

(Verse II)
(King Kaka)
Hata nikisema asali mara ngapi,
Utamu haitafika kwa mdomo,
Ndio kitu niligundua vile tu,
Nyi mlikuwa wadogo,
Saa hii me ni father of two,
Before mzaliwe mlikuwako news,
Naomba baadae mtanielewa,
Kwa saa hii me nitawalea,
Mnatoa meno lini? 
I wish mngekuja na manual,
Plus na-respect mama zenu,
Vile situation wali-handle,
Tumedisagree,
Tume-go for days hatujaongea,
Hata maji sakafuni, 
After day inapotea,
Nawish singei-do, 
But nikiwatazama it's so good,
Na mimi sio perfect,
Hakuna moment na-regret,
Busy kwa stage na On-Set,
Ndio muwe na chakula kwa plate,
Nawapenda,
Niko njiani,
Kwangu everyday ni Father's day,

(Bridge II)
(Elani)
Huu wimbo ni wako baba,
Natarajia uko salama,
Nakumbuka ulivyo kazana,
Na sura yako baba nitakumbuka,
Oooh. oooh, oooh, 

(Chorus)
Weweee (Papa papa papa) 
Weweee (Papa papa papa) 
Weweee (Papa papa papa) 
Weweee (Papa papa papa) 

(Bryan)
Huu wimbo ni wako baba,
Natarajia uko salama,
Nakumbuka ulivyo kazana,
Na sura yako baba nitakumbuka,
Oooh. oooh, oooh, 

(Elani)
(Papa papa papa) 
(Papa papa papa) 
(Papa papa papa) 
(Papa papa papa) 

(Elani)
Huu wimbo ni wako baba,
Natarajia uko salama,
Nakumbuka ulivyo kazana,
Na sura yako baba nitakumbuka,
Oooh. oooh, oooh, 

Weweee (Papa papa papa) 
Weweee (Papa papa papa) 
Weweee (Papa papa papa) 
Weweee (Papa papa papa) 


Lyrics Submitted by; The Lyrical Master


No comments:

Post a Comment

Lupita Nyong'o has done it again!

Jay Z has released another song from his much publicized album 4.44. This new song is called MaNyfaCedGod  featuring James Blake and the vi...